Psalms 81:11-12


11 a“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza;
Israeli hakutaka kunitii.
12 bBasi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao
wafuate mashauri yao wenyewe.
Copyright information for SwhNEN